Magari 10 bora yanayoongoza kwa kasi duniani
Kama wewe utakuwa mpenzi sana wa magari basi nadhani makala hii ni kwa ajili yako. Haya ndiyo magari yanayoongoza kwa kasi zaidi duniani kama yalivyoorodheshwa kuanzia namba moja hadi kumi.
1. Hennessey Veyrom F5
2. Koenigsseg Agera RS
3. Hennessey Venom GT
4. Bugatti Veyron Super Sport
5. Bugatti Chiron Sport
6. Porsche 9FF GT9-R
7. SSC Ultimate Aero TT
8. Aston Martin Valkyrie
9. Koenigsseg Roadster
10. Tesla Roadster
Unaweza kuyaangalia magari haya kwa undani zaidi pia kupitia video ambayo tumekuwekea hapo chini
No comments