Header Ads

Breaking News

Game 15 bora kwenye Playstore mpaka kufikia May 2020

Kama wewe ni mpenzi wa kucheza game hususani games za kwenye simu, basi utakuwa unafahamu kuwa games nyingi ambazo zilikuwa ni za bure hapo kipindi cha nyuma, hivi sasa si za bure tena. Tekzum tumekuletea games 15 ambazo ni bora kabisa ambazo unaweza ukacheza kupitia simu yako ya Android kwa bure kabisa zikiwa na ubora wa hali ya juu. Game hizi hazihitaji manunuzi ya aina yoyote ile, hivyo utakapomaliza kuzipakua (download) utaweza kicheza kwa urahisi kabisa pasipo malipo ya aina yoyote.

1. Another Eden
2. Alto's Odyssey
3. Asphalt 9: Legends
4. Brawl Stars
5. Call of Duty: Mobile
6. Critical Ops
7. FIFA Football
8. Final Fantasy Brave Exvius
9. Legends of Runeterra
10. Unkilled
11. Nintendo Games
12. Pokémon GO
13. PUBG Mobile
14. Rebel Inc.
15. Vainglory

No comments